Njoo mpenzi wangu
Ili nikupende
Mpenzi nimekutafuta
Mteja haupatikani
Njoo mpenzi wangu
Ili nikupende
Mpenzi nimekutafuta
Mteja haupatikani
Kesho kesho
Nitakupenda
Asemaye
Kesho ni mwongo
Njoo mpenzi wangu nikupende milele
Hakuna kinachoweza kututenganisha kamwe
Watoto wangu upendo wetu usiwe wa maneno matupu
Bali uwe upendo wa kweli na wa vitendo
Njoo mpenzi wangu nikupende milele
Hakuna kinachoweza kututenganisha kamwe
Watoto wangu upendo wetu usiwe wa maneno matupu
Bali uwe upendo wa kweli na wa vitendo
Kesho kesho
Nitakupenda
Asemaye
Kesho ni mwongo
Kesho kesho
Nitakupenda
Asemaye
Kesho ni mwongo
Leo leo
Nimekubali
Upendo wako
Wa kweli
Leo leo
Nimekubali
Upendo wako
Wa kweli
Leo leo
Nimekubali
Upendo wako
Wa kweli