Rico drop that beat
Ulaya? Australia? Asia bara?
Umetokea wapi mrembo weee? (Mrembo weeh)
Mwingi wa sala,ng'ara, balaa
Ulimpa nini Mungu akupendelee (Akupendelee)
Nisije tembelea magongo (Magongogongo)
Wajua mapenzi ya kibongo (Kibongobongo) ilaa usiniache mrembo wewe
Acha wanaosema uongo (Uongo uongo)
Ati nakupakiaga mkongo (Mkongo mkongo) ilii usiniache mrembo wewe
When I see yo face (When I see yo face)
Mtoto Nicki minaji anaconda
Kitandanii mwepesiii (Kitandanii mwepesiii)
Anainyonga mpka nafika kitonga (Nafika Kitonga)
Amebarikiwa, mwili wake umezawadiwa, Mashaallah
(She's so beautiful)
Ajishebedua, ye mwenyewe anajijua, asalalleh
She's so beautiful beautiful (Beautiful)
I swear she's so beautiful beautiful (Beautiful)
Wanamuita mrembo (Wanamuita mrembo)
Mrembo mrembo (Mrembo mrembo)
She's so beautiful beautiful (She's so beautiful)
I swear she's so beautiful beautiful (Beautiful)
Wanamuita mrembo (Wanamuita mrembo) mrembo mrembo (Mrembo mrembo)
Kushoto kulia mbele na nyuma
Sioni mwingine nakuona weeh (Nakuona weh)
Wewe tu!
Kwa ulivotulia walai unavutia
Ntalia ukiniacha-niacha weeh (Ukiniacha weh)
Wewe tu!
When I see your face (When I see your face)
My heart dey race (My heart dey race)
And every place you wanna be, I'll be with you
I no go lie (I no go lie)
I can't deny (I Can't deny)
You de blow my mind (You de blow my mind)
You de blow my mind
Amebarikiwa, mwili wake umezawadiwa, Mashaallah
(Mashaallahhhh)
Ajishebedua, ye mwenyewe anajijua, asalalleh
(Asalalleeehhhh)