Back to Top

Princepark - Nisikuangushe Lyrics



Princepark - Nisikuangushe Lyrics




I got a story (story)

Nakumbuka kina Rufftone, alitupelekanga mwikhulu
Nakumbuka kina Ringtone, gospel ilibamba
Maisha finje finje Mr.T alikataa
Mr. Googs told dem straight never entertained
Angel Chibalonza akasema Jubilee
Daddy Owen warned dem ati yote ni vanity
Gospel Fathers walipendwa na fundi wa mbao
M.O.G wakadai "hear my calls"
Emachichi, Kaberere, kina Esther Wahome
Niwe kama wao

Nisikuangushe (eeeh)
Ukiniinua, nisikuangushe (eeeh)
Eeeh Baba (aaah)
Nisikuangushe (eeeh)
Ukinibariki nisikuangushe (eeeh)
Nisaidie Baba

Skiza, injili ikazidi kuwa poa tu
Tukazidi kuwa wengi tu
Lakini nikagundua sio wote
Waliitwa walichaguliwa
Mashow za gospel nyingi tulichapa
Kila station ilicheza ngoma zetu
Kwa kweli mziki wetu ulitoka kwa Neno
Kila mwaka tukakuwa napewa tuzo
Tena, ikaja kubadilika
Hatufanyi tena kwa neno bali kwa mashindano
Wengi wetu walijawa na majigambo
Ikabidi na wengine tu, waende ngambo
Majivuno, kwa manyimbo
Tukiandika hatutaji jina Kristo
Lakini mimi siwezi jizuiaaaaa
Kusema wake mema

But, si ati mimi ni mzuri sana (aaah)
Hata me nina weakness labda mbaya sana (aaah)
Wengi waliachana na injili ya Baba (aaah)
Ila me naomba Baba ukiniinua

Nisikuangushe (eeeh)
Nisaidie nisikuangushe (eeeh)
Eeh Baba (aaah)
Nisikuangushe (eeeh)
Ukinibariki, nisikuangushe (eeeh)
Nisaidie Baba

Sasa wengi wametoka,
Labda ata bado kuna wale watatoka
Willy Paul alitoka akaacha Kevin
Lakini injili sai haina Bahati
Wanamziki wa injili hawana wisdom
Ni matusi wamejaza comment section
Tunaifanya juu ya likes, hakuna vision
Ikifika ni Kwa God hakuna submission
Kim Danny Danny
Everlyn Mutua
Bruz Newton, wapi Bazokizo
Mungu alikutuma kwa Wa Maasai usambaze Neno lake
LJay uko wapi sahi?
Vikundi mingi nazo pia zikavunjika
Naomba neema kwa wote waliotoka
Maisha ya injili si rahisi ina machungu mengi
Ila nikuomba na kuvumilia

But, si ati mimi ni mzuri sana (aaah)
Ata me nina weakness labda mbaya sana (aaah)
Wengi waliachana na injili ya Baba (aaah)
Ila me naomba Baba ukiniinua

Nisikuangushe (eeeh)
Nisaidie nisikuangushe (eeeh)
Eeh Baba (aaah)
Nisikuangushe (eeeh)
Ukinibariki, nisikuangushe (eeeh)
Nisaidie Baba
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




I got a story (story)

Nakumbuka kina Rufftone, alitupelekanga mwikhulu
Nakumbuka kina Ringtone, gospel ilibamba
Maisha finje finje Mr.T alikataa
Mr. Googs told dem straight never entertained
Angel Chibalonza akasema Jubilee
Daddy Owen warned dem ati yote ni vanity
Gospel Fathers walipendwa na fundi wa mbao
M.O.G wakadai "hear my calls"
Emachichi, Kaberere, kina Esther Wahome
Niwe kama wao

Nisikuangushe (eeeh)
Ukiniinua, nisikuangushe (eeeh)
Eeeh Baba (aaah)
Nisikuangushe (eeeh)
Ukinibariki nisikuangushe (eeeh)
Nisaidie Baba

Skiza, injili ikazidi kuwa poa tu
Tukazidi kuwa wengi tu
Lakini nikagundua sio wote
Waliitwa walichaguliwa
Mashow za gospel nyingi tulichapa
Kila station ilicheza ngoma zetu
Kwa kweli mziki wetu ulitoka kwa Neno
Kila mwaka tukakuwa napewa tuzo
Tena, ikaja kubadilika
Hatufanyi tena kwa neno bali kwa mashindano
Wengi wetu walijawa na majigambo
Ikabidi na wengine tu, waende ngambo
Majivuno, kwa manyimbo
Tukiandika hatutaji jina Kristo
Lakini mimi siwezi jizuiaaaaa
Kusema wake mema

But, si ati mimi ni mzuri sana (aaah)
Hata me nina weakness labda mbaya sana (aaah)
Wengi waliachana na injili ya Baba (aaah)
Ila me naomba Baba ukiniinua

Nisikuangushe (eeeh)
Nisaidie nisikuangushe (eeeh)
Eeh Baba (aaah)
Nisikuangushe (eeeh)
Ukinibariki, nisikuangushe (eeeh)
Nisaidie Baba

Sasa wengi wametoka,
Labda ata bado kuna wale watatoka
Willy Paul alitoka akaacha Kevin
Lakini injili sai haina Bahati
Wanamziki wa injili hawana wisdom
Ni matusi wamejaza comment section
Tunaifanya juu ya likes, hakuna vision
Ikifika ni Kwa God hakuna submission
Kim Danny Danny
Everlyn Mutua
Bruz Newton, wapi Bazokizo
Mungu alikutuma kwa Wa Maasai usambaze Neno lake
LJay uko wapi sahi?
Vikundi mingi nazo pia zikavunjika
Naomba neema kwa wote waliotoka
Maisha ya injili si rahisi ina machungu mengi
Ila nikuomba na kuvumilia

But, si ati mimi ni mzuri sana (aaah)
Ata me nina weakness labda mbaya sana (aaah)
Wengi waliachana na injili ya Baba (aaah)
Ila me naomba Baba ukiniinua

Nisikuangushe (eeeh)
Nisaidie nisikuangushe (eeeh)
Eeh Baba (aaah)
Nisikuangushe (eeeh)
Ukinibariki, nisikuangushe (eeeh)
Nisaidie Baba
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Pascal Kasika
Copyright: Lyrics © PrinceKrew Empire

Back to: Princepark



Princepark - Nisikuangushe Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Princepark
Written by: Pascal Kasika
[Correct Info]
Tags:
No tags yet