Desilcon, Jrose
Tabasamu lako
Lilinivutia mna
Nikaomba number yako
Uwe wangu
Hufanani na wengine
Uko peke yako
Usiende kwa mwengine
Nipe moyo wako
Sioni,Sihitaji
Mwengine, Ni wewe tu
Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Forever?
Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Forever?
Aaaah,uuuooooh
'Orever
Baby, baby, I don't deny
Wewe ndio furaha yangu
Wewe ndio fungu langu
Milele
Staki uende mbali nami
Nafuata nyuki nile asali
Ukiondoka nitaumia
Milele
Chochote
Nitakupa
Nitakupa ufunguo
Uingie ndani ya moyo wangu
Lolote, utakalolitaka
Hata nafsi yangu sina
Budi kukupa
Hufanani na wengine
Uko pekeyako
Usiende kwa mwengine
Nipe moyo wako
Sioni
Sihitaji
Mwengine
Ni wewe tu
Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Forever?
Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Forever?
Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Forever?