Back to Top

Mpela Mpela Video (MV)

Performed By: Mekah 5
Language: English
Length: 3:10
Written by: Mussa Masokelo, Nassar Daffa, Paul Chagula
[Correct Info]

Mekah 5 - Mpela Mpela Lyrics

You're the Angle of happiness to me
Unapenda kucheka hujui kununa, kama mtori na tui
Unapenda mideko, mjanja kama kunguni
Fundi wa kupeti na kuniuma, mbwembwe Kagere mpirani
Rhumba ya mapenzi nicheze na wewe na wewewe
Tunda langu mimi nipe nilage mwenyewe limenye-we

Itaniuma roho siku ukija nitema, mchizi nitadata kwa vilevi vikali
Tena swadakta kwako niko ngangali
Incase you don't known
Nimekupendea wema, tuwe sambamba hata Safari ya mbali
Nigande haswaaa, tena watupishie mbali

Na mwendo wetu mpera mpera mpera, huu mwendo wetu mimi na wewe
Mpera, mpera, mpera, tufike mbali wenyewe
Asa mpera, mpera, mpera
Huu mwendo wetu mimi na wewe
Mpera, mpera, mpera Tufike mbali wenyewe

Mapenzi ni kama ua huchanua pale linapo nyeshewa
Nimekukabidhi mtima Roho kimaso, kimaso macho yanaongea
I wish ningekuwaga the Donn my Honey Chochote utakacho nikupe wewe
Oh wewe Oh wewe

Waonyeshe unavyo lisakata, sakata, sakata
Ukipinda mgongo, sakata, sakata, sakata
Oh Baby Sakata, sakata, Sakata

Asante
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Writer: Mussa Masokelo, Nassar Daffa, Paul Chagula
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Mekah 5

Tags:
No tags yet