Eeh! (chiby) chiby Nipe solo
Mama umeweza bila bughudha videmu vya sinza tabata vyanini nishapunguza
Wewe ndo umefanya me nimsahau X ooh!!
I'm ready to supposed for your case oh!
For your case ooh!!
Your case ooh!!!
Aah! Aah!!
Hivi mama wewe umeniloga (ooh! Mama weeeh!!)
Mana me naona umeniweza (Kumaanisha nini? )
Mama wewe umeniloga
Mana me nazidi kunawili najihisi nimerudi utoto
A,e,I,o,u umenirudisha utotoni
( A,e,I,o,u )
Najihisi mtoto
( A,e,I,o,u )
Umenirudisha utotoni
( A,e,I,o,u
(Najiona mtoto )
Mama mapenzi mwenzako yalinitesa
Yalinikosesha usingizi kutwa nikawa nakesha
Moyo ulishachoka kuteseka
Umekuja umeituliza pressure wewe Eeh!
Wewe Eeh! Eeh! Eeh! Eeh! Eeh!
Hivi mama wewe umeniloga (ooh! Mama weeeh!!)
Mana me naona umeniweza
Mama wewe umeniloga
Mana me nazidi kunawili najihisi nimerudi utoto
A,e,I,o,u umenirudisha utotoni
( A,e,I,o,u )
Najihisi mtoto
( A,e,I,o,u )
Umenirudisha utotoni
( A,e,I,o,u
(Najiona mtoto )