Take easy (khee!! ) pop ma champagne (chiby ) weka mitungi na shisha
(si wanapenda kubang) maisha yenyewe tunaishi na kuisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha ( Kumaanisha nini )
Pop ma champagne weka mitungi na shisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha
Punguza userious maisha ayataki useious
Punguza userious coz maisha ayataki userious
Punguza userious maisha ayataki userious
Punguza userious coz maisha ayataki userious
We Wapi ulisikia pesa ina nunua roho ila ninachojua kwamba pesa inauza roho
Japo vita kubwa inayotutesa mapenzi na doo (doo)
Ila kwangu ayo mapenzi pesa kwenda (Go!!)
Nenda bar nunua bia mbili moja mpe dj akonge yako roho (roho)
Aliekwambia kutoka weekend zambi Acha na uyo mwanga kakonge yako roho (roho )
Kama Una bebe kali ila inakupa stress temana nayo bhana usiumize roho (roho)
Ukipata kidogo toka na marafiki ujichanganye uisafishe roho (ooh!!")
Punguza userious maisha ayataki useious
Punguza userious coz maisha ayataki userious
Punguza userious maisha ayataki useious
Punguza userious coz maisha ayataki userious
Take easy pop ma champagne weka mitungi na shisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha (mara mbili )
Pop ma champagne weka kitu hi na shisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha
Unazisaka kwa shida ukipata washauri kibao
Uwezi shindana na husda na riziki zao
Ishi kwenye ndoto zako waachie zao
Chukua 50 zako waachie zao (hao)
Nenda bar nunua bia mbili moja mpe dj akonge yako roho (roho)
Aliekwambia kutoka weekend zambi Acha na uyo mwanga kakonge yako roho (roho )
Kama Una bebe kali ila inakupa stress temana nayo bhana usiumie roho (roho)
Ukipata kidogo toka na marafiki kajichanganye uisafishe roho (ooh!!")
Punguza userious maisha ayataki useious
Punguza userious coz maisha ayataki userious
Punguza userious maisha ayataki useious
Punguza userious coz maisha ayataki userious
Take easy pop ma champagne weka mitungi na shisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha
Pop ma champagne weka kitu hi na shisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha Mwisho