Muhuni akipenda anapenda kweli (si wanapenda kubang )
Muhuni akipenda anapenda kweli (kumaanisha nini ? )
Muhuni akipenda anapenda kweli
Muhuni akipenda anapenda kweli
Ikitokea wamekutenga dunia nzima I will be by your side mama (side mama)
Tena ikitokea hata umeua umeletwa kwa mahakama Alafu me ndo judge hauna case mama (case mama )
Uliniomba nitulie nikatulia forever we kushoto me kulia
Ulipotoka mateso umechoka kulia
Tuzae Watoto tumake historia
Asaah! Ukisema unaniacha naomba kuuliza me unaniacha na Nani ?? (Unaniacha na Nani
unaniacha na Nani ?? (Unaniacha na Nani
Ukisema umenichoka naomba kuuliza me unaniacha na Nani (unaniacha na Nani )
Mana kisirani changu unaekiweza (ni wewe )
Unaekituliza (ni wewe )
Unaenipa furaha (ni wewe )
You the best we ndo best wewe ndio furaha yangu (ni wewe )
Unaenipa amani (ni wewe ) unaenipa furaha (ni wewe ) you the best we ndo best unaenifanya niburudike
Muhuni akipenda anapenda kweli
Muhuni akipenda anapenda kweli
Ikitokea wamekuloga umekuwa Chizi dampo makopo tutaokota wote (tutaokota wote )
Tena ikitokea siku ya mwisho me peponi Alafu we motoni uwo moto tutachomwa wote (tutachomwa wote )
Nilisamama pale Tu uliposema simama
Sio mashemeji tulipendwa na mama
Sio wa kufa Tu na kuzikana
Ikiwezekana tufufuke wote kiama
Ukisema unaniacha naomba kuuliza mimi unaniacha na Nani ?? (Unaniacha na Nani
Unaniacha na Nani ?
Ukisema umenichoka naomba kuuliza me unaniacha na Nani (unaniacha na Nani
Mana kisirani changu unaekiweza (ni wewe )
Unaekituliza (ni wewe )
Unaenipa furaha (ni wewe )
You the best we ndo best wewe ndio furaha yangu (ni wewe )
Unaenipa amani (ni wewe ) unaenipa furaha (ni wewe ) you the best we ndo best unaenifanya niburudike
Muhuni akipenda anapenda kweli
Muhuni akipenda anapenda kweli