Back to Top

Lily - Kipenzi Lyrics

Lily - Kipenzi Lyrics

Kipanziiiiii!
Nina jambo moja nataka nikuambieeeh, mmmh!
Oooh! Darling
Umenifunza Dini ya Dunia niyaache kule
Moyo wangu umeupa Amani, nami umenipa thamani
Nakupenda kweli sitanii wangu wa ubani sijielewiiii...

Nahisi kama unaniitaaah, Oooh! unaniitaaa
Yani tabasamu lako tu
Mi mwenzio ninabaki hoi
Ukiniita nitaitika
Oooh! nitaitika

Popote ulipo mpenzi, Vimbaaa - Yeah!
Mwenzako nakupenda
Popote mpenzi ilipo vimbaaa Yeah!
Mimi wako nakupenda

UKipenzi unajua ninavyo kuthamini
Na Imani yangu inanituma mimi kuwa na wewe
Ukiwa mbali nakosa raha
Nikikusa mpenzi karaha
Moyo na nafsi vinakosa Amani
Yaani tafrani vinakosa Amani

Shukrani
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Kipanziiiiii!
Nina jambo moja nataka nikuambieeeh, mmmh!
Oooh! Darling
Umenifunza Dini ya Dunia niyaache kule
Moyo wangu umeupa Amani, nami umenipa thamani
Nakupenda kweli sitanii wangu wa ubani sijielewiiii...

Nahisi kama unaniitaaah, Oooh! unaniitaaa
Yani tabasamu lako tu
Mi mwenzio ninabaki hoi
Ukiniita nitaitika
Oooh! nitaitika

Popote ulipo mpenzi, Vimbaaa - Yeah!
Mwenzako nakupenda
Popote mpenzi ilipo vimbaaa Yeah!
Mimi wako nakupenda

UKipenzi unajua ninavyo kuthamini
Na Imani yangu inanituma mimi kuwa na wewe
Ukiwa mbali nakosa raha
Nikikusa mpenzi karaha
Moyo na nafsi vinakosa Amani
Yaani tafrani vinakosa Amani

Nahisi kama unaniitaaah, Oooh! unaniitaaa
Yani tabasamu lako tu
Mi mwenzio ninabaki hoi
Ukiniita nitaitika
Oooh! nitaitika

Popote ulipo mpenzi, Vimbaaa - Yeah!
Mwenzako nakupenda
Popote mpenzi ilipo vimbaaa Yeah!
Mimi wako nakupenda

Shukrani
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Lillian Ruttu, Nassar Dafa, Paul Chagula
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Lily

Lily - Kipenzi Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Lily
Language: English
Length: 3:06
Written by: Lillian Ruttu, Nassar Dafa, Paul Chagula
[Correct Info]
Tags:
No tags yet