Badness
Wakiuliza waambie ni Mungu
I'm getting blessings I say
Ni mungu
I can confess Jah never change mungu
Wakiuliza waambie ni mungu
Wakiuliza waambie ni mungu
I'm getting blessings I say ni mungu
I can confess jah never change mungu
Wakiuliza waambie ni mungu
I can confess naishi maisha bila stress
I never have to worry cause my saviour is in his glory
Mishale inapita kila saa maadui wakifika
I'm gonna sit back ningoje apigane vita
Time is now I'm moving forward
No one else
Anatutosha
Sending waves and the mighty ocean
Come for me you proceed with caution
Time is now I'm moving forward
No one else
Anatutosha
Sending waves
And the mighty ocean
Come for me you proceed with caution
Wakiuliza waambie ni mungu
I'm getting blessings I say ni mungu
I can confess Jah never change mungu
Wakiuliza waambie ni mungu
Wakiuliza waambie ni mungu
I'm getting blessings I say ni mungu
I can confess Jah never change mungu
Wakiuliza waambie ni mungu
Mungu mungu ni mungu
Mungu mungu ni mungu
Mungu mungu ni mungu
Mungu mungu ni mungu
Kila ninaposhindwa unaniongoza
Nina simama wima
Sina nachokosa
Ushafungua njia
Kila napotoka
Hizi nizako sifa milele milele
Kila ninaposhindwa unaniongoza
Nina simama wima
Sina nachokosa
Ushafungua njia
Kila napotoka
Hizi nizako sifa milele milele
Time is now I'm moving forward
No one else
Anatutosha
Sending waves
And the mighty ocean
Come for me you proceed with caution
Wakiuliza waambie ni mungu
I'm getting blessings I say ni mungu
I can confess Jah never change mungu
Wakiuliza waambie ni mungu
Wakiuliza waambie ni mungu
I'm getting blessings I say ni mungu
I can confess Jah never change mungu
Wakiuliza waambie ni mungu
Mungu mungu ni mungu