Back to Top

Wema Video (MV)

Performed By: Fresh Jumbe
Length: 7:02
Written by: Fresh Mkuu

Fresh Jumbe - Wema Lyrics

Sikijui cha kukulipa kulingana na wema wako
Kusema kweli wema wako ni wa asili oh mama

Nakiri udhaifu na fakhari kwa pamoja ndani ya nafsi yangu kila ninapofikiria wema wako ulionitendea
Hadi hivi leo hii kuwa kipimo cha utu wangu hata nikulipe nini miye haitolingana na wema wako wa asili

Wema wako dada umenifanya niwe mtu kati ya watu - Najivunia ya ya ya yah!
Wema wako dada umenifanya niwe mtu kati ya watu

Kadiri itakavyokuwa wema wako ni wa asili oh mama
Nami wangu kwa vyovyote vile utakuwa ni wa kuiga tu
Hauwezi kulingana kabisa na wema wako wa asili ulionitendea
Ninakupa asante na ninakuahidi nitakuwa mwema kwako milele

Roho yako mama sijapata kuona mfano wake hata
Tabia yako honey si ya kawaida sijapata kuona honey
Naomba kwa jina la Mungu na baraka za mitume yake yote anijaalie
Niweze kupata uaminifu uuh na nisishawishike na lolote lile nikupende wewe tu

Uuuh mamamamama nitakupenda wewewe wewe tu
Nimeyafumba macho yangu na kuyaziba masikio yangu kwa wengine ye ye yeh
Sioni mwingine ila ni weewe ila ni wewe tu sisikii la mwengine nitakusikia wewewe wewe tu
Sogea karibu yangu nikumbatie unipe joto lako maammmah
Sogea karibu yangu nikumbatie unipe mvuke wako maamah
Sogea karibu yangu nikumbatie unipe busu lako maaaammmah
Aaaaye aaaaaye aaaaye nakuthamini wewe tu maah

Wema wako dada umenifanya niwe mtu kati ya watu - aaah ya ya ya yah!

Hahaha nacheka

Wema wako dada umenifanya niwe mtu kati ya watu - uuuuh

[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Fresh Mkuu
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Fresh Jumbe

Tags:
No tags yet