Back to Top

Fresh Jumbe - Amka East Africa Lyrics

Fresh Jumbe - Amka East Africa Lyrics

East Africa wake up! wake up! wake up!

Amka simama Afrika mashariki - Umoja ni nguvu
Amka simama wakati ni huu - Hakuna kulala

Amka - Wake up - simama - Stand up - Afrika mashariki - Umoja ni nguvu

Amka simama Afrika mashariki - Afrika mashariki
Amka simama wakati ni huu - Stand up

Kama ni majani tumeshayang'oa ya ya yah Sasa uwanja unahitaji kufagiliwa
Kama ni wali umeshapakuliwa yoh yoh yoh Kinachofatia sasa ni kuliwa
Kama ni mlango umeshafunguliwa uko wazi sasa sisi ni kuingia
Hakuna sababu ya kutuzuwia ni kwa nini tusiendelee Afrika mashariki

Amka simama Afrika mashariki - Rwanda Burundi
Amka simama wakati ni huu - Kenya na Uganda
Amka simama Afrika mashariki - Tanzania
Amka simama - Get up come on - wakati ni huu - Let's go!

JP Sensey Mubaya wa wabaya wa wabaya piga kwanza guitar

No visa no Passport Afrika mashariki
No ubaguzi no kupendeleana Afrika mashariki
No uvivu no blaa blaa tufanye kazi
Tushirikiane kwa pamoja tujenge nchi zetu Afrika mashariki umoja ni nguvu

Amka simama Afrika mashariki - oh ya ya yah
Amka simama wakati ni huu - Wake up Stand up!

Amka simama - Come on let's do it - wakati ni huu

Come on Mmmh
Mti mkavu
Fresh Jumbe Mkuu Waziri Kungugu Kitanda Milima
Kazi kazi ni kazi tu Hakuna kulala

Come on

Amka - Wake up - simama - Stand up Ah - Afrika mashariki - Umoja ni nguvu
Amka - Get up - simama - Stand up Ah - wakati ni huu - Hakuna kulala
Amka - Get up - simama Afrika mashariki - Umoja ni nguvu
Amka simama

Wakati ni huu
Get up
East Africa wake up! wake up! wake up!
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Fresh Mkuu
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Fresh Jumbe

Fresh Jumbe - Amka East Africa Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Fresh Jumbe
Length: 5:02
Written by: Fresh Mkuu

Tags:
No tags yet