Bingili go down
Bingili go down
Bingili go down
Bingili go down
Umeinjika usiipue ah
Tena ringa jishebedue ah ah ah
Umeshatega usitegue ahhhh
Ringa haswa jishongondoe
Hana tatizo
Yuko moyoni
Kashika levo
Nambari one
Nampenda hivyo hivyo
Hata waseme nini ahhh
Anavigezo vya kuwa na mimi
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Usijesababisha pancha
Likavuja pakacha
Mi siwezi kukuacha
Tubaki kama mapacha
Sekeseke mashaka
Nashida nakataa
Nitatafuta mpaka
Nihakikishe napata
Nidhahiri dhahiri
Moyoni mwangu dhahiri
Nimekiri nimekiri
Naogopa ya mafedhuli
Nidhahiri mama dhahiri
Moyoni mwangu dhahiri
Nimekiri nimekiri
Naogopa ya mafedhuli
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Bingili go down
Bingili go down
Bingili go down
Bingili go down
Bingili go down
Bingili go down
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo
Ananipa vibwagizo vibwax
Vibwagizo