Back to Top

ChozenAfitra - Kama ni Story ya Mali Lyrics



ChozenAfitra - Kama ni Story ya Mali Lyrics
Official




Friday ishafika tayari
Im just chilling with my champa ngwe ngwe
My chepshew, na unalew vizuri
Mapenzi wachia Nyuki na mandege
Wee enda tafuta kazi
Mjinga
Kaa ni story ya Mali
Kaa ni story ya Mali
Kaa ni story ya Mali
Silali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Maisha ni Kali
Chunga usiwe mkali
Labda upate mishoni
Uende Mahali
Uweze kukaa
Kaa ni story ya Mali
Jibu maswali kwa ndae
Buda ni kazi na Fanya
Siwezi deny ni wewe na taka lakini sahi niko Sawa
Utanipata kwa sky napenda kuwasha nipate mabawa
Ifadhi na chemicali
Kwa gari Nikona mali
Kwa gari Nikona mali
Madame wasaba kwa ndae
Wataka twende bahari
Ni nini wanatama
Ni nini wanatamani
Wamechoka na serikali
Wamechoka na vitu zetu
Wamechoka na mambo yao
Wamechoka na mambo mengi
Wakisema tutoke vikao
Tulisema Kenya ni yetu
Ukitiisha twende right now
Kaa ni story ya Mali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Kaa ni story ya Mali
Silali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Maisha ni Kali
Chunga usiwe mkali
Labda update mishani
Uende Mahali
Ueze kukaa
Kaa ni story ya Mali
Jibu maswali kwa ndae
Buda ni kazi na fanya
Siwezi deny ni wewe na taka lakini Sahi Niko Sawa
Utanipta kwa sky napenda kuwasha nipate mabawa
Ifadhi na chemicali
Kwa gari Nikona mali
Kwa gari Nikona mali
Madame wasaba kwa ndae
Wataka twende bahari
Ni nini wanatama
Ni nini wanatamani
Wamechoka na serikali
Wamechoka na serikali
Tumechoka na serikali
Tumesema Kenya ni yetu
Ukitiisha twende right now
Kaa ni story ya Mali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Kaa ni story ya Mali
Silali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Kaa ni story ya Mali
Silali
Silalii
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Friday ishafika tayari
Im just chilling with my champa ngwe ngwe
My chepshew, na unalew vizuri
Mapenzi wachia Nyuki na mandege
Wee enda tafuta kazi
Mjinga
Kaa ni story ya Mali
Kaa ni story ya Mali
Kaa ni story ya Mali
Silali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Maisha ni Kali
Chunga usiwe mkali
Labda upate mishoni
Uende Mahali
Uweze kukaa
Kaa ni story ya Mali
Jibu maswali kwa ndae
Buda ni kazi na Fanya
Siwezi deny ni wewe na taka lakini sahi niko Sawa
Utanipata kwa sky napenda kuwasha nipate mabawa
Ifadhi na chemicali
Kwa gari Nikona mali
Kwa gari Nikona mali
Madame wasaba kwa ndae
Wataka twende bahari
Ni nini wanatama
Ni nini wanatamani
Wamechoka na serikali
Wamechoka na vitu zetu
Wamechoka na mambo yao
Wamechoka na mambo mengi
Wakisema tutoke vikao
Tulisema Kenya ni yetu
Ukitiisha twende right now
Kaa ni story ya Mali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Kaa ni story ya Mali
Silali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Maisha ni Kali
Chunga usiwe mkali
Labda update mishani
Uende Mahali
Ueze kukaa
Kaa ni story ya Mali
Jibu maswali kwa ndae
Buda ni kazi na fanya
Siwezi deny ni wewe na taka lakini Sahi Niko Sawa
Utanipta kwa sky napenda kuwasha nipate mabawa
Ifadhi na chemicali
Kwa gari Nikona mali
Kwa gari Nikona mali
Madame wasaba kwa ndae
Wataka twende bahari
Ni nini wanatama
Ni nini wanatamani
Wamechoka na serikali
Wamechoka na serikali
Tumechoka na serikali
Tumesema Kenya ni yetu
Ukitiisha twende right now
Kaa ni story ya Mali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Kaa ni story ya Mali
Silali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Silali
Kaa ni story ya Mali
Kaa ni story ya Mali
Silali
Silalii
[ Correct these Lyrics ]
Writer: richard muchogu
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: ChozenAfitra



ChozenAfitra - Kama ni Story ya Mali Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: ChozenAfitra
Language: English
Length: 3:10
Written by: richard muchogu
[Correct Info]
Tags:
No tags yet