Back to Top

Charles Mallya - Maneno Maneno Lyrics



Charles Mallya - Maneno Maneno Lyrics
Official




Maneno maneno mimi nimechoka eeh
Namuhitaji Mungu wa kutenda miujiza kwangu
Oooh maisha ya ukiwa mimi kimechoka eeh
Namuhitaji Mungu anaejibu kwangu
Anisikie nami aniinue
Anitendee nami nisimulie
Nilivyozunguka mimi inatosha eeh
Nakuhitaji Mungu unaye jibu kwangu
Unisikie nami uniinue
Unitendee nami nifurahie
Vikao vinafanywa kunimaliza
Kuinuliwa kwangu kidogo ni uadui
Nipiganie vita yangu nishindie
Nipiganie nafsi yangu iinue
Nimechoka kuishi jangwani
Maisha haya mpaka lini
Nimechoka kuishi jangwani
Kwenye ukame na baridi kali
Unikumbuke nami uniinue
Nilio amini ni ndugu zangu
Leo hii wamekuwa adui zangu
Wale nilio amini ni rafiki zangu
Leo hii wamekuwa adui zangu
Wanafurahia kule kushindwa kwangu
Moyo wangu
Nakungoja we pekee
Bado naaa isubiri ahadi yako
Umeniahidi hutoniacha Bwana wangu
Moyo wangu
Nakungoja we pekee
Bado naaa isubiri ahadi yako
Ahadi yako ahadi yako Baaba
Moyo wangu
Nakungoja we pekee
Bado naaa isubiri ahadi yako
Nimechoka kusimuliwa
Ninaomba unitendee
Nimechoooka kusimuliwa
Nahitajimuujiza wako
Siondoki ooh mahali hapa
Sitatoka ooh mi mbele zako baba
Ninangoja
Moyo wangu
Nakungoja we pekee
Bado naaa isubiri ahadi yako
Umeniahidi hutoniacha Bwana wangu
Moyo wangu
Nakungoja we pekee
Bado naaa isubiri ahadi yako
Ahadi yako Baba ahadi yako Yesu
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Maneno maneno mimi nimechoka eeh
Namuhitaji Mungu wa kutenda miujiza kwangu
Oooh maisha ya ukiwa mimi kimechoka eeh
Namuhitaji Mungu anaejibu kwangu
Anisikie nami aniinue
Anitendee nami nisimulie
Nilivyozunguka mimi inatosha eeh
Nakuhitaji Mungu unaye jibu kwangu
Unisikie nami uniinue
Unitendee nami nifurahie
Vikao vinafanywa kunimaliza
Kuinuliwa kwangu kidogo ni uadui
Nipiganie vita yangu nishindie
Nipiganie nafsi yangu iinue
Nimechoka kuishi jangwani
Maisha haya mpaka lini
Nimechoka kuishi jangwani
Kwenye ukame na baridi kali
Unikumbuke nami uniinue
Nilio amini ni ndugu zangu
Leo hii wamekuwa adui zangu
Wale nilio amini ni rafiki zangu
Leo hii wamekuwa adui zangu
Wanafurahia kule kushindwa kwangu
Moyo wangu
Nakungoja we pekee
Bado naaa isubiri ahadi yako
Umeniahidi hutoniacha Bwana wangu
Moyo wangu
Nakungoja we pekee
Bado naaa isubiri ahadi yako
Ahadi yako ahadi yako Baaba
Moyo wangu
Nakungoja we pekee
Bado naaa isubiri ahadi yako
Nimechoka kusimuliwa
Ninaomba unitendee
Nimechoooka kusimuliwa
Nahitajimuujiza wako
Siondoki ooh mahali hapa
Sitatoka ooh mi mbele zako baba
Ninangoja
Moyo wangu
Nakungoja we pekee
Bado naaa isubiri ahadi yako
Umeniahidi hutoniacha Bwana wangu
Moyo wangu
Nakungoja we pekee
Bado naaa isubiri ahadi yako
Ahadi yako Baba ahadi yako Yesu
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Charles Mallya
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Charles Mallya



Charles Mallya - Maneno Maneno Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Charles Mallya
Length: 3:58
Written by: Charles Mallya
[Correct Info]
Tags:
No tags yet