[ Featuring The Renaissance Man ]
Lipia Starlink na till number
Saf waskizie uchungu
Huskii ndio narada hizo 13 bob za Fuliza zinanimaliza
Bro alinisho nisome Proverbs
Huskii ndio narada mbona bana
Chapter 22, Verse 26
Solo alispit mbaya
Mental breakdown ya juzi ilinizima
Too much pressure
Eventually makes diamonds though
Now I relate to Van Gogh
Taking music seriously in my mid-20s
I tried to stop but nicheki pen, muscle spasm
Lazima nichase the grass
Mi sikai fence, mi si coward
Mi sidai kuwork kwa desk
Mi nadai checks every hour
A lot of sh** nime compress
Nika stash away juu mi si paka
Mi nadai my own place
In the bed hadi kwa shower
Sijai doz njaa ni God manze
Through bro mathe na siz
Na kama hii life ni game
Then ameni bless na ping
Shesh hukuwa sare design na spin
Last time nilitoboka ni 2013
Ndo nicheki change nina put things on the line
Kama ma neighbour wa mi
Huskii ndio narada
Hii fear inatoka within
Haijakuwa easy ku focus na muzzle kwa corner ya macho
Design sijai tulia
Hata sikujibamba P.E
Nikidai crush anipatie macho
Nikificha tabia za psycho
Sahi nafaa ku believe
My dreams haziezi bako
Siku sitaeza kuifanya sidai ku feel empty juu sikujaribu
Mnipatie space limit haijai kuwa mawingu
Free me from myself bado natry kuvunja pingu
Nimekuwa nikichase the bag
Tangu shule, nikitokwa toja
Itabidi nimekaa kwa desk
Nimake ma beats every hour
Ma vocals na compress
Atio ka aling, onge mbaka
Nikona my own place
Saa za ball kikithaga
Nimewai doz njaa juu ya God manze
Fasting siku ka three
Akanifanya nifike church
Juu alini bless na ting
Salvation ni sare design uki believe
Last time niliomba ni leo asubuhi
Ndio nicheki change na dedicate things to Him
Ni kama naitwa Davi
Huskii ndio narada
Ananiita nyathiine
Inakuwa easy ku focus na Bible kwa corner ya macho