Hakuna jina lingine
Jina lako Yesu
Lina Uweza
Ipo nguvu kwenye jina lako
Ambayo haifananishwi
Upo Ukuu katika jina lako
Ambao haulinganishwi
Wagonjwa wanapona, wanawekwa huru
Kwa jina la Yesu
Hili jina Yesu linaponya yote
Hakuna jina lingine
Jina lako Yesu
Lina Uweza
Kwa hilo jina kila goti na lipigwe
Na ulimi unakiri wee ni Bwana
Kwa hilo jina kila goti na lipigwe
Na ulimi unakiri wee ni Bwana
Umestahili
Umestahili
Na hakuna wa kufanana nawe
Hakuna jina lingine
Jina lako Yesu
Lina Uweza
Linaweza
Linaweza
Linaweza
Linaweza
Hakuna jina lingine
Jina lako Yesu
Lina Uweza
Latawala
Latawala
Latawala
Latawala
Hakuna jina lingine
Jina lako Yesu
Lina Uweza
Linaponya
Linaponya
Linaponya
Linaponya
Hakuna jina lingine
Jina lako Yesu
Lina Uweza
Lasamehe
Lasamehe
Lasamehe
Lasamehe
Hakuna jina lingine
Jina lako Yesu
Lina Uweza