Back to Top

Maisha Ya Mjini Video (MV)

Performed By: Fresh Jumbe
Length: 4:56
Written by: Fresh Mkuu

Fresh Jumbe - Maisha Ya Mjini Lyrics

Maisha ya mjini ni mchaka mchaka
Pata shika na nguo kuchanika, balaa

Balaa

Maisha ya mjini kweli taabu - Taabu
Maisha ya mjini hayajatulia - Mjini matatizo
Maisha ya mjini ni mahesabu - Mahesabu
Maisha ya mjini hakuna kutulia - Balaa
Najuta kuja mjini kuvamia - Bila mipango
Bila mipango yoyote mjini kuhamia - Najuta
Leo hii jua linaniwakia - Uuuuh - najuta kweli mjini kuvamia uuh - Balaa

Maisha ya mjini kweli taabu - maisha ya mjini bila kupangia - Nalia yai yai yoh ooh
Maisha ya mjini ni mahesabu maisha ya mjini hakuna kutulia - Nimekwama
Leo hii jua linaniwakia mfukoni sina pesa ya kutumia- Aloi yoi iih
Maisha ya mjini ni adhabu - Taabu maisha ya mjini nimekoma oh!

Narudi Buyuni kitopeni
Tanga Pangani kwenye waganga
Na misahafu kibbao iliyopangana
I'm going back for sure Yes

Nilipokuwa mtu wa shambani - Shambani - hapo ndipo nilipokuwa na thamani - Shambani
Sasa nimehamia mjini jamani matatizo niliyonayo hayana kifani - Balaa
Shambani nilijilimia shambani nikapalilia shambani nikajivunia na kula - Shambani
Shambani nilijifugia shambani nikajichinjia nyama choma nikajilia ah - Shambani
Kijijini kila mtu ni mwana wa familia litokeapo tatizo kila mtu anasaidia - Shambani
Kijijini watu roho zimewatulia sana hawana papara hawana tamaa aah

Sasa mjini nataabika maisha ni mchaka mchaka pata shika na nguo kuchanika - Nimekwama
Kila siku ni kupiga kwata na hujui kama utapata hakitoshi unachokipata Balaa - Nalia ya ya yah eeh
Sasa mjini nataabika maisha ni mchaka mchaka pata shika na nguo kuchanika - Ae eh eh eh
Kila siku ni kupiga kwata na hujui kama utapata - Let's go - hakitoshi unachokipata Balaa

Mkwaja Buyuni kitopeni Ah!
Mimi bado ni mjamaa he he he!

Narudi Geza ulole, Kibugumo na Mwanabilato - Narudi kijijini
Narudi Bwagamoyo Saadani Buyuni kitopeni - Narudi kijijini
Kijijini Tanganyika Sakura na Kipumbwi au Mwera kisondo - Narudi kijijini
Narudi Kirare nimechoka na maisha ya mjini balaa ah aha ahh - Balaa

Nimechoka!

Kila siku ni kupiga kwata na hujui kama utapata hakitoshi unachokipata

Standby standby come on ah ah
Narudi Buyuni kitopeni
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Fresh Mkuu
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Fresh Jumbe

Tags:
No tags yet